

- Wadau wa huduma ya Tiketi Mtandao wakisikiliza mada inayotolewa na Dr. Edwin Mhede, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Julius Nyerere Dar es Salaam
- TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MATUMIZI YA TIKETI MTANDAO KWENYE MABASI