Wakurugenzi wakuu wa LATRA na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakikabidhiana nyaraka wakati wa kusaini Mkataba wa Ushirikiano katika udhibiti, ikiwemo udhibiti wa usafiri wa malori yanayosafirisha mafuta