Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisikiliza maelezo kuhusu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika banda la LATRA ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Kitaifa – Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani mwaka 2021 – Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha