NAULI MPYA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI NA MABASI YA MIJINI

A: Mabasi ya Kwenda Mikoani

Daraja Viwango kikomo vya Zamani kwa Abiria kwa km (TZS)Viwango kikomo ambavyo Mamlaka imeridhia kwa Abiria kwa km (TZS)Ongezeko (TZS)Asilimia (%)
Daraja la Kawaida36.8941.294.4011.92
Daraja la Kati53.2256.883.666.88

Viwango vya nauli kwenye barabara za vumbi itakuwa ni ongezeko la asilimia 25 ya daraja la kawaida kwa barabara ya lami ambayo ni sawa na shilingi 51.61 kwa abiria kwa kilometa.

B: Mabasi ya Yanayotoa Huduma Kwenye Majiji na Miji

NjiaNauli za Zamani (TZS)Nauli Mpya (TZS)Ongezeko(%)
0-10 km (+CBD)40050025
11 hadi 15 km45055022
16  hadi 20 km50060020
21 hadi 25 km60070017
26 hadi 30 km75085013
31 hadi 35 km1,000
36 hadi 40 km1,100

TANBIHI

Aidha, kwa mujibu wa Kanuni ya 19 ya Kanuni za Tozo za LATRA za Mwaka 2020, Watoa Huduma wanatakiwa kutoa matangazo ya nauli mpya kwa muda wa siku 14 kabla ya kuanza kutumia nauli mpya kupitia vyombo vya habari vinavyoweza kuwafikia watu wengi.