Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Maombi ya Nafasi za Madereva Kufanya Mitihani
Imewekwa: 08 Jun, 2022

Mamlaka inawataarifu madereva wote wanaoendesha magari ya biashara kuwa, imeanza rasmi kupokea maombi ya kufanya mitihani ya kuthibitishwa. Kwa kuanzia, mitihani ya Uthibitishaji inafanyika katika ofisi za Makao Makuu ya LATRA, zilizopo mtaa wa Nkrumah Jijini Dar es Salaam Jumatatu hadi Ijumaa mara mbili (2) Asubuhi na Mchana kulingana na muda uliowekwa kwenye mfumo.

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo