Kitengo kinafanya kazi zifuatazo;
- Kuandaa na kutekeleza mpango wa mwaka wa ununuzi;
- Kutoa huduma za sekretariet na utendaji kazi wa Bodi ya Zabuni;
- Kusimamia mpango wa undoaji wa Mamlaka;
- Kutunza na kuhifadhi kumbukumbu za mchakato wa ununuzi na uondoaji;
- Kudumisha orodha ya mikataba yote inayotolewa;
- Kusimamia uhifadhi na usambazaji wa bidhaa zilizonunuliwa; na
- Kuandaa taarifa za shughuli za ununuzi na uondoaji (disposal).