Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Sera ya Faragha

Mamlaka inachukulia faragha ya wateja na wanaotembelea tovuti yetu na watumiaji wa mifumo yetu kwa umuhimu mkubwa. Sera hii inaeleza hatua tunazochukua kuhifadhi na kulinda faragha yako unapotemjbelea au kuwasiliana na tovuti yetu au wafanyakazi.

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo