Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Kurugenzi ya Udhibiti Uchumi

Kazi

Kurugenzi inafanya kazi zifuatazo: -

  • Kufuatilia uzingatiaji wa udhibiti uchumi wa usafiri ardhini
  • Kuandaa viashirio vya utendaji kazi kwa watoa huduma pamoja na viwango vya huduma zinazotolewa,
  • Kuandaa nauli na tozo ;
  • Kufanya uchambuzi wa mara kwa mara wa mwenendo na maendeleo yanayohusu sekta ndogo za barabara na reli;
  •  Kuandaa Mpango Mkakati wa Mamlaka, Mpango wa Mwaka na Mpango wa Biashara;
  • Kuratibu utekelezaji wa Mfumo wa Usimamizi wa Vihatarishi wa Mamlaka;
  • Kuhuisha na kuchambua takwimu za udhibiti na usambazaji wa taarifa kwa wakati;
  • Kuratibu mkataba wa utendajikazi na Msajili wa Hazina, Katibu Mkuu wa Wizara mama;
Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo