Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

IDARA YA MIUNDOMBINU YA RELI

Idara ya Miundombinu ya Reli inatekeleza kazi zifuatazo: -

  • Kuandaa, kupitia na kufuatilia utekelezaji wa viwango vya usalama wa miundombinu ya reli;
  • Kuandaa, kukagua na kufuatilia uzingatiaji wa kanuni za usalama za miundombinu ya reli;
  • Kufuatilia utekelezaji wa mifumo ya usimamizi wa usalama wa miundombinu ya reli;
  • Kutoa ushauri kuhusu vipengele vinavyofaa vya usalama kwa mfumo wa udhibiti wa treni;
  • Kuchunguza ajali na matukio yanayohusiana na miundombinu ya reli na mazingira;
  • Kuthibitisha ubora wa miundombinu ya reli; na
  • Kutoa, kuhuisha na kufuta vibali vya matumizi ya miundombinu ya uendeshaji wa reli
Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo