ENGLISH
KISWAHILI
Maswali
Mrejesho
Wasiliana nasi
Nafasi za Kazi
Barua pepe za Wafanyakazi
Zabuni
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini
Piga Bure : 0800110019/0800110020
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Sisi ni nani
Dira, Dhamira na Misingi Mikuu
Wadau
Kazi za Mamlaka
Uongozi
Muundo wa Taasisi
Bodi ya Wakurugenzi
Menejimenti
Kurugenzi
Kurugenzi ya Udhibiti Usafiri wa Barabara
Kurugenzi ya Usalama wa Mazingira
Kurugenzi ya Udhibiti Uchumi
Kurugenzi ya Udhibiti Usafiri wa Reli
Kurugenzi ya Huduma za Mamlaka
Idara
Idara ya Leseni za Biashara
Idara ya Ufuatiliaji Barabara
Idara ya Uthibitishaji Madereva na Usajili wa Wahudumu
Idara ya Uratibu Usalama na Mazingira.
idara ya Miundombinu ya Reli
Idara ya Vyombo vya Usafiri wa Reli
Idara ya Umeme na Mawasiliano
Idara ya Utafiti na Takwimu za Usafirishaji
Idara ya Ushindani na Tozo
Idara ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini
Idara ya Fedha na Uhasibu
Idara ya Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala
Vitengo
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma
Kitengo cha Huduma za Sheria
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Kitengo cha TEHAMA
Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
Sheria
Mapendekezo ya Kanuni za LATRA za mwaka 2024
Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria na baadhi ya Kanuni za LATRA
Sheria
Kanuni
Rasimu za Kanuni za Watoa Huduma Binafsi za Usafiri wa Reli za Mwaka 2023
Usafiri Barabara
Usafiri Reli
Taratibu
Usafiri wa Barabara
Usafiri wa Reli
Miongozo
Mwongozo wa Usafiri wa Reli
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Umma
Elimu kwa Madereva
Picha Mnato
Picha Jongefu
Kutoka Magazetini
Magazeti ya Mwaka 2025
Hotuba
Makala
Ramani ya Tanzania
Machapisho
Masijala ya Umma
Taarifa kwa Abiria
Majarida
Takwimu
Taarifa za Robo Mwaka
Taarifa za Mwaka
Tafiti
Taarifa ya Mwaka
Mpango Mkakati
Maagizo & Notisi
Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Watoa Huduma za Teksi Mtandao
Vigezo na Masharti ya Mhudumu wa Mabasi
Fomu
Huduma Mtandao
RRIMS
Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari
Mfumo wa Taarifa kwa Abiria
Safari Tiketi
Masijala Mtandao
Maktaba Mtandao
Nauli
Daladala
Mabasi ya Njia Ndefu
Teksi Mtandao
Treni ya SGR
LATRA App
eMrejesho
Sera ya Ubora
Maswali
Mrejesho
Wasiliana nasi
Nafasi za Kazi
Barua pepe za Wafanyakazi
Zabuni
Prof. Ahmed Ame, Mwenyekati wa Bodi ya LATRA akipokea tuzo ya mshindi wa pili miongoni mwa taasisi za Serikali zinazotoa huduma bora na zisizofanya biashara. Tuzo hiyo imetolewa na Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Agosti 25, 2025 Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kilichoratibiwa na ofisi ya Msajili wa Hazina.
Mhe. Godfrey Mzava, Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini akimkabidhi dereva wa pikipiki za magurudumu mawili na matatu (bodaboda na bajai) cheti cha kuhitimu mafunzo ya udereva kati ya madereva 178 wa Chama cha Akiba na Mikopo cha Bajaji na Bodaboda Mkoani Kilimanjaro (KIBABOT SACCOS) waliohitimu mafunzo hayo katika hafla ilyofanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Agosti 11, 2025.
Mhe. Godfrey Mzava, Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini akimuwakilisha Mhe. Nurdin Babu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amekabidhi vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva kwa madereva 178 wa Pikipiki za Magurudumu Mawili na Matatu pamoja na kukabidhi Pikipiki 14 kwa Wanachama wa Chama cha Akiba na Mikopo cha Bajaji na Bodaboda Mkoani Kilimanjaro (KIBABOT SACCOS) katika hafla ilyofanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Agosti 11, 2025.
.
.
.
.
.
Mhe. Edward Mpogolo, Mkuu wa Wilaya ya Ilala (wa pili kulia) akikabidhi Cheti cha Uwakala wa Kutoa Leseni za Usafirishaji kwa Chama cha Ushirika cha Maafisa Usafirishaji wa Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam (MAUPIDA Saccos Ltd), Agosti 13, 2025 ukumbi wa Golden Jubilee, Dar es Salaam.
Dkt. Ladislaus Chang'a, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ametembelea banda la LATRA lililopo kwenye Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane ambapo alipatiwa elimu kuhusu shughuli za kiudhibiti zinazotekelezwa na LATRA.
Previous
Next
CPA Habibu J. Suluo
Mkurugenzi Mkuu
Wasifu
|
Karibu
Habari Mpya
Tazama Zaidi
LATRA YANG’ARA TUZO YA UTOAJI HUDUMA BORA
25 Aug, 2025
MAUPIDA YATUNUKIWA CHETI CHA UWAKALA WA LATRA
14 Aug, 2025
SAFARI TIKETI YAIPAISHA LATRA, NANENANE 2025
10 Aug, 2025
LATRA YAASWA KUWAFIKIA WADAU VIJIJINI
09 Aug, 2025
Matukio
Tazama Zaidi
13
Aug 25
Hafla ya Kukabidhi Cheti cha Uwakala wa LATRA kwa Chama cha Ushirika cha Maafisa Usafirishaji wa Pikipiki Dar es Salaam (MAUPIDA)
Ukumbi wa Golden Jubilee, Sakafu ya Tano
23
Dec 24
Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Mapendekezo ya Kanuni za LATRA
Ukumbi wa Karimjee
23
Oct 24
17th Joint Transport Sector Review Meeting
Arusha International Conference Centre (AICC)
05
Jun 24
Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau kuhusu Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria na Baadhi ya Kanuni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)
Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou
Matangazo
Tazama Zaidi
Njia Mpya na Zenye Uhitaji wa Kuongeza Idadi ya Magari
14 Aug, 2025
Hotuba ya Mhe. Albert John Chalamila - Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kwenye Hafla ya Kukabidhi Cheti cha Uwakala wa Kutoa L...
13 Aug, 2025
Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu – LATRA kwenye Hafla ya Kukabidhi Cheti cha Uwakala wa Kutoa Leseni za Usafirishaji kwa Chama...
13 Aug, 2025
Njia Mpya na Zenye Uhitaji wa Kuongeza Idadi ya Magari
30 Jul, 2025
Hali ya Utekelezaji wa Mifumo ya Tiketi Mtandao
21 Jul, 2025
Nifanyaje?
Tazama Zaidi
Kuchapa Leseni Kiganjani
Kujisajili kwenye Mfumo wa RRIMS
Kusajiliwa na Kuthibitishwa (Wahudumu na Madereva wa Vyombo vya Moto Kibiashara)
Kuomba Leseni za Usafiri wa Kukodi-Mabasi Maalum ya Kukodi
Kuomba Leseni za Usafiri wa Kukodi-Teksi za Kawaida /Teksi Mtandao
Huduma Mtandao
Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari
Mfumo wa Kutahini Madereva
Mfumo wa Taarifa kwa Abiria
RRIMS
Safari Tiketi
Dirisha la Wasafiri
Abiria Funga Mkanda
Mrejesho
Mrejesho, Malalamiko au Wazo
Wasilisha