Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

IDARA YA LESENI ZA BARABARA

Idara inatekeleza majukumu yafuatayo;

  • Kutoa, kuhuisha na kufuta leseni pamoja na vibali vya magari ya kibiashara;
  • Kutoa vibali vya  kuruhusu usafiri kuvuka nje ya mipaka;
  • Kuandaa na kupitia kanuni na viwango vya magari ya kibiashara;
  • Kukuza ushindani na kuzuia ukiritimba kwa wasafirishaji wenye nguvu katika sekta ndogo ya usafiri wa barabara; 
  • Kutayarisha ratiba ya mabasi na ya abiria; 
  • Kuanzisha na kupitia njia za magari ya abiria;
  • Kutengeneza kanuni za maadili kwa watoa huduma, madereva na wafanyakazi; na
  • malalamiko migororo ya wateja yanayohusiana na utoaji leseni
     
Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo