ENGLISH
KISWAHILI
Maswali
Mrejesho
Wasiliana nasi
Nafasi za Kazi
Barua pepe za Wafanyakazi
Zabuni
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini
Piga Bure : 0800110019/0800110020
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Sisi ni nani
Dira, Dhamira na Misingi Mikuu
Wadau
Kazi za Mamlaka
Uongozi
Muundo wa Taasisi
Bodi ya Wakurugenzi
Menejimenti
Kurugenzi
Kurugenzi ya Udhibiti Usafiri wa Barabara
Kurugenzi ya Usalama wa Mazingira
Kurugenzi ya Udhibiti Uchumi
Kurugenzi ya Udhibiti Usafiri wa Reli
Kurugenzi ya Huduma za Mamlaka
Idara
Idara ya Leseni za Biashara
Idara ya Ufuatiliaji Barabara
Idara ya Uthibitishaji Madereva na Usajili wa Wahudumu
Idara ya Uratibu Usalama na Mazingira.
idara ya Miundombinu ya Reli
Idara ya Vyombo vya Usafiri wa Reli
Idara ya Umeme na Mawasiliano
Idara ya Utafiti na Takwimu za Usafirishaji
Idara ya Ushindani na Tozo
Idara ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini
Idara ya Fedha na Uhasibu
Idara ya Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala
Vitengo
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma
Kitengo cha Huduma za Sheria
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Kitengo cha TEHAMA
Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
Sheria
Mapendekezo ya Kanuni za LATRA za mwaka 2024
Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria na baadhi ya Kanuni za LATRA
Sheria
Kanuni
Rasimu za Kanuni za Watoa Huduma Binafsi za Usafiri wa Reli za Mwaka 2023
Usafiri Barabara
Usafiri Reli
Taratibu
Usafiri wa Barabara
Usafiri wa Reli
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Umma
Elimu kwa Madereva
Picha Mnato
Picha Jongefu
Hotuba
Makala
Ramani ya Tanzania
Machapisho
Masijala ya Umma
Taarifa kwa Abiria
Majarida
Takwimu
Taarifa za Robo Mwaka
Taarifa za Mwaka
Tafiti
Taarifa ya Mwaka
Mpango Mkakati
Maagizo & Notisi
Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Watoa Huduma za Teksi Mtandao
Vigezo na Masharti ya Mhudumu wa Mabasi
Fomu
Huduma Mtandao
RRIMS
Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari
Mfumo wa Taarifa kwa Abiria
Safari Tiketi
Masijala Mtandao
Maktaba Mtandao
Nauli
Daladala
Mabasi ya Njia Ndefu
Teksi Mtandao
Treni ya SGR
LATRA App
eMrejesho
Sera ya Ubora
Maswali
Mrejesho
Wasiliana nasi
Nafasi za Kazi
Barua pepe za Wafanyakazi
Zabuni
.
.
.
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ikiongozwa na Prof. Ahmed Mohamed Ame kwenye kikao cha pamoja na Bw. Mkadam Khamis Mkadam, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi - Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) pamoja na Menejimenti ya ZARTSA. Kikao hicho kimefanyika Kituo cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto, kwa Silva (Dole- Zanzibar) Februari 27, 2025 kwa lengo la kuboresha ushirikiano pamoja na kubadilishana uzoefu wa namna bora ya kuendesha shughuli za kiudhibiti kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo.
Prof. Ahmed Mohamed Ame (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi - Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) akisalimiana na Bw. Mkadam Khamis Mkadam, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi - Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA), mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto, kwa Silva (Dole- Zanzibar) Februari 27, 2025. LATRA na ZARTSA zimekutana kubadilishana uzoefu wa namna bora ya kuendesha shughuli za kiudhibiti kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo.
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kupitia kurugenzi ya Reli imefanya ukaguzi tuli (Static Inspection) wa mabehewa ya kubebea mizigo na makasha ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika stesheni ya Ruvu Februari 25, 2025.
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeendesha kikao kazi cha kutoa elimu kuhusu kazi na majukumu ya LATRA kwa wadau wa usafirishaji wa Pikipiki za magurudumu mawili na magurudumu matatu Wilayani, Kahama Mkoa wa Shinyanga Februari 09, 2025.
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeendesha kikao kazi cha kutoa elimu kuhusu kazi na majukumu ya LATRA kwa wadau wa usafirishaji wa Pikipiki za magurudumu mawili, magurudumu matatu na Pikipiki za kubeba mizigo maarufu kama maguta, Wilayani Korogwe, Mkoani Tanga Februari 05, 2025.
Bw. Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), akitoa elimu ya ukataji wa leseni za Pikipiki za magurudumu mawili kwa wadau wa usafirishaji hususan madereva na wamiliki wa Pikipiki za magurudumu mawili Wilayani Same, Mkoani Kilimanjaro, februari 04, 2025.
Bw. Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) akiwasilisha kazi na majukumu ya Mamlaka kwenye kikao kati ya Kamati ya Siasa Kata ya Mchafukoge na LATRA iliyofanyika ukumbi wa mikutano ofisi za LATRA Dar es Salaam Februari 3, 2025.
Previous
Next
CPA Habibu J. Suluo
Mkurugenzi Mkuu
Wasifu
|
Karibu
Habari Mpya
Tazama Zaidi
WATUMISHI LATRA WAASWA KUONGEZA UBUNIFU
04 Mar, 2025
SP MAGAYANE AWAONYA MADEREVA WANAOCHEZEA MFUMO WA VTS
04 Mar, 2025
LATRA NA ZARTSA ZABADILISHANA UZOEFU WA KIUTENDAJI
28 Feb, 2025
LATRA YAPONGEZWA KWA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WADAU
12 Feb, 2025
Matukio
Tazama Zaidi
23
Dec 24
Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Mapendekezo ya Kanuni za LATRA
Ukumbi wa Karimjee
23
Oct 24
17th Joint Transport Sector Review Meeting
Arusha International Conference Centre (AICC)
05
Jun 24
Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau kuhusu Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria na Baadhi ya Kanuni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)
Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou
04
Jun 24
Hafla ya Pili ya Utoaji vyeti kwa Madereva Waliothibitishwa
Ukumbi wa Mikutano wa Arnaoutouglou
Matangazo
Tazama Zaidi
Njia mpya za Usajili wa Leseni Mkoani Dar es Salaam
11 Mar, 2025
Njia Mpya za Usajili wa Leseni Mkoani Dar es Salaam
10 Feb, 2025
Matumizi ya Kitufe cha Utambuzi wa Dereva (i-Button) kwa Mabasi ya ‘Special Hire’
31 Dec, 2024
Hotuba ya Prof. Godius Kahyarara, Katibu Mkuu - Uchukuzi kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa Kupokea Maoni ya Wadau kuhusu Ras...
23 Dec, 2024
Utoaji wa Leseni za Muda Mfupi Kipindi cha Mwisho wa Mwaka
17 Dec, 2024
Nifanyaje?
Tazama Zaidi
Kuchapa Leseni Kiganjani
Kujisajili kwenye Mfumo wa RRIMS
Kusajiliwa na Kuthibitishwa (Wahudumu na Madereva wa Vyombo vya Moto Kibiashara)
Kuomba Leseni za Usafiri wa Kukodi-Mabasi Maalum ya Kukodi
Kuomba Leseni za Usafiri wa Kukodi-Teksi za Kawaida /Teksi Mtandao
Huduma Mtandao
Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari
Mfumo wa Kutahini Madereva
Mfumo wa Taarifa kwa Abiria
RRIMS
Safari Tiketi
Dirisha la Wasafiri
Abiria Funga Mkanda
Mrejesho
Mrejesho, Malalamiko au Wazo
Wasilisha