Imewekwa: 05 Nov, 2025
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua za kurejesha huduma za usafiri wa abiria kwa mabasi ya mjini yanayopita barabara ya Morogoro, sambamba na njia ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT - 1) Mkoani Dar es Salaam, inatangaza fursa za vibali vya muda kama ifuatavyo;

