Imewekwa: 04 Dec, 2025
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inatangaza fursa kwa wamiliki wa mabasi kuwasilisha maombi ya leseni za muda mfupi ili kuongeza huduma za usafiri wa abiria kwenye njia zenye uhitaji mkubwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

