Imewekwa: 21 Jul, 2025
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), inapenda kuutarifu umma na wadau wote wa usafiri ardhini kuhusu hali ya utekelezaji wa mifumo ya Tiketi Mtandao kama ifuatavyo;
Hadi tarehe 19 Julai, 2025, kampuni mbili (2) zilizoonesha mwelekeo mzuri hapo awali ambazo ni Busbora Company Limited na Web Corporation Limited, zimekamilisha taratibu za usajili wa mifumo yao kwa mujibu wa Sheria, hivyo kufanya idadi ya kampuni zilizokidhi vigezo vya kupata vibali vya kutoa huduma za tiketi mtandao kuwa tano (5) ambazo ni: