Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Huduma ya Usafiri wa Daladala Wakati wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur'aan
Imewekwa: 11 May, 2022

Kufuatia uwepo wa mahitaji makubwa ya usafiri kwa ajili ya abiria wanaoenda kwenye Mashindano ya kuhifadhi Qur’aan Tukufu yatakayofanyika tarehe 17/4/2022 uwanja wa Mkapa - Dar es salaam, Mamlaka imetoa ruhusa kwa daladala au mabasi yenye leseni hai za usafirishaji kutoa huduma ya usafiri kwenye uwanja huo

Kwa taarifa kamili bofya hapa

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo