Imewekwa: 08 Sep, 2023
Mnamo tarehe 03 Julai, 2023 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ilisitisha ratiba za mabasi ya kampuni ya NEW FORCE kuanza safari muda wa saa tisa (9:00) usiku na saa kumi na moja (11:00) alfajiri kutokana na ukiukwaji wa masharti ya leseni za usafirishaji hasa kutoka kabla ya muda uliodhinishwa, mwendokasi, na matukio ya ajali za mfululizo. Mamlaka ilisitisha leseni za mabasi hayo na kutoa maelekezo yafuatayo:-