Imewekwa: 26 Sep, 2025
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kufanya maombi ya leseni za usafirishaji abiria kwa njia ya KISESA – USAGARA, Kupitia Buzuruga, Mkoa wa Mwanza.