Imewekwa: 14 Apr, 2025
Mafanikio ya LATRA katika kipindi cha miaka minne (04) ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuanzia Mwezi Februari, 2021 hadi Mwezi Machi 2025 ni kama ifuatavyo: -