Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Mkutano na Wadau-Wamiliki wa Mabasi
Imewekwa: 11 May, 2022

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) imeandaa mkutano wa wamiliki wa mabasi Tanzania kwa ajili ya kupokea maoni kuhusu changamoto za mfumo wa udhibiti mwendokasi (Vehicle Tracking System - VTS) pamoja na utekelezaji wa Sheria ya LATRA Na. 3 ya mwaka 2019.

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo