Imewekwa: 08 Dec, 2023
Amri ya Bodi ya LATRA iliyotangazwa kwenye Gazeti la Serikali (Taarifa ya Kawaida Na. 6935), Toleo Na. 47 la tarehe 24 Novemba, 2023 ni kama ifuatavyo:
Kifungu cha 19 cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini, Sura ya 413 imeipa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) jukumu la kupanga na kufanya marejeo ya tozo za huduma ya usafiri ikiwa ni pamoja na nauli za mabasi.
Bonyeza hapa kupata Jedwali la Nauli kwa Mikoa yote Tanzania Bara