Imewekwa: 29 Jun, 2022
Mamlaka inawataarifu wasafirshaji kuwa imetengeneza na kuidhinisha njia mpya za mabasi ya mjini kwa mkoa wa Dar es Salaam kama inavyoonekana kwenye jedwali hapo chini. Njia hizi zinategemea kuongeza wigo wa uwekezaji katika usafirishaji wa umma na utoaji huduma kwa wananchi.
Hivyo, kwa anayehitaji anatakiwa kutuma maombi yake kupitia https://rrims.latra.go.tz/login