Imewekwa: 06 Jan, 2026
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya kutoka Jiji la Dar es Salaam kuelekea Manispaa ya Kibaha, ili kufikisha huduma karibu na wananchi kwa magari yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;

