Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Tahadhari Dhidi ya Wadanganyifu
Imewekwa: 11 May, 2022

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakumbusha watoa huduma za usafiri kuchukua tahadhari dhidi ya matapeli wanaojitambulisha kuwa ni wafanyakazi wa LATRA. Matapeli hao huwalaghai waombaji leseni za usafirishaji kuwa ni vigumu kupata leseni za usafirishaji

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo