Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Utekelezaji wa Masharti ya Leseni za Usafirishaji Mabasi ya Masafa Marefu
Imewekwa: 17 Feb, 2023

Kwa mujibu wa Kifungu Na 5(1)(e) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Sura ya 413, Mamlaka pamoja na majukumu mengine, ina jukumu la kusajili wahudumu na kuthibitisha madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafiri kibiashara.

Katika kutekeleza jukumu hilo, tarehe 1 June, 2022 Mamlaka ilianza rasmi kuthibitisha madereva wa vyombo vya moto kibiashara.  Aidha, moja ya masharti ya leseni zinazotolewa na LATRA ni wenye vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafiri kibiashara, kuhakikisha madereva wanaoendesha vyombo hivyo wanakuwa na Cheti cha Uthibitisho kinachotolewa na Mamlaka baada ya kufanya mtihani na kufaulu.

Soma zaidi

 

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo