Imewekwa: 17 Dec, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inatangaza fursa kwa wamiliki wa mabasi kuwasilisha maombi ya leseni za muda mfupi kwenye njia zenye uhitaji mkubwa wa huduma za usafiri wa abiria kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Leseni hizo zitatolewa kuanzia tarehe 17 Desemba, 2024 kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo;