13 Dec, 2022
3:00 asubuhi
Ukumbi wa Anatouglou
Kanuni ya 15(d) ya Kanuni za Usafiri wa Kukodi za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za 2020, zinaelekeza kuwa, Leseni ya Usafiri wa Kukodi itatolewa kwa chombo kilichounganishwa na mita ya kukokotoa nauli au mfumo mwingine unaoweza kukokotoa nauli kama itakavyoamuliwa na Mamlaka.