27 Nov, 2025
07:30 am
JNICC, Dar es Salaam
Wadau wa Usafirishaji waliojiandikisha kupitia tovuti rasmi ya Maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini wanakaribishwa kushiriki ufunguzi na makongamano yatakayofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.Novemba 25 hadi 27, 2025.

