Imewekwa: 30 May, 2024
Hatua za Kufuata:
- Fungua anwani http://rrims.latra.go.tz
- Weka Baruapepe na Nywila ili kuingia kwenye akaunti yako
- Nenda sehemu iliyoandikwa leseni zangu
- Chgua aina ya leseni unayotaka kuchapisha mfano. Magari ya abiria , usafiri wa kukodi , magari ya mizigo n.k
- Chagua leseni hai
- Chagua namba ya gari unayotaka kuchapisha leseni bofya neno chapa leseni na utachapa leseni yako mtandaoni