Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Kupata nauli za mabasi yaendayo mikoani
Imewekwa: 09 May, 2022

Tafadhali Fuata Hatua zifuatazo ili kupata nauli za mabasi yaendayo mikoani

1. Ingia playstore pakua app ya "Latra App" 

2. fungua application yako kisha changua lugha uipendayo kati ya kiiengeza au kiswahili, 

3. Changua Nauli za mabasi ya mikoani

4. Kisha andika jina la mkoa unaoanzia safari, mkoa unaoenda, na njia uipendayo endapo utakuwa unaifahamu.

utaweza kuona umbali wa njia uliyoichagua, nauli ya daraja la kawaida pamoja na nauli ya daraja la kati. Kama hautachagua njia, basi utaletewa taarifa za njia zote zinazopatikana. Asante.

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo