27 Nov, 2023
Pakua
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ilipokea maombi kutoka kwa makampuni ya utoaji huduma ya usafiri wa abiria ya Super Feo Enterprises, ABC Classic na Happy Nation wakiiomba Mamlaka kufanya marejeo ya nauli za mabasi kufuatia ongezeko la gharama za uendeshaji, ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta (petroli na diseli). Mapendekezo ya makampuni haya ni kuongeza nauli ya sasa ya Shilingi 56.88 kwa kilometa kwa abiria kama ifuatavyo: