Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Fursa ya Kuongeza Idadi ya Mabasi Jijini Dar es Salaam
Imewekwa: 28 May, 2025

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria, inaongeza idadi ya mabasi ya mjini (daladala) katika njia (Route) zifuatazo;

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo