Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu (LATRA) katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau kuhusu Matumizi ya Teksimita kwa Magari ya Kukodi (Convectional Taxi) Desemba 14, 2022
Imewekwa: 14 Dec, 2022

Natoa shukrani za dhati kwa wadau wote waliopo hapa kwa kukubali mwaliko wetu na kuhudhuria mkutano huu. Ninatambua kila mmoja wetu ana majukumu mazito ya kiofisi au binafsi lakini kwa kutambua umuhimu wa mkutano huu ameacha shughuli zake ili kwa pamoja tuweze kushirikiana. Napenda kusema kwa msisitizo kuwa mkutano huu ni kwa ajili yenu ndugu wadau hivyo mnaombwa kufuatilia kwa umakini na kisha mtoe maoni yenu kwa uhuru.

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo