Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Hotuba ya Mkuu wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Mhe. Amos Malaka katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kupokea Maoni Kuhusu Utaratibu wa Matumizi ya Teksimita Desemba 14, 2022
Imewekwa: 14 Dec, 2022

Kabla ya kuongea zaidi kuhusu mkutano huu wa leo, naomba niseme yafuatayo kwa ufupi kabisa, Sote ni mashahidi kuwa Serikali ya awamu ya Sita, chini ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassani  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya juhudi za kipekee kuhakikisha inakuza sekta binafsi kwa kuhakikisha sekta binafsi ndio inakuwa chachu ya kusukuma uchumi na chanzo cha mapato ya serikali kupitia kodi na kuongeza ajira kwa vijana hasa kwenye huduma za usafiri aridhini ikihusisha magari ya kukodi na huduma za usafiri wa mijini kwa kutumia mabasi na pikipiki za miguu miwili na mitatu.

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo