Imewekwa: 24 Jun, 2024
Kutokana na kuwepo kwa mahitaji makubwa ya huduma ya usafiri kwa abiria na wafanyabiashara wanaotaka kwenda kushiriki Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa ruhusa kwa daladala kutoa huduma ya usafiri kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji kuelekea katika viwanja hivyo kwa masharti yafuatayo: