Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Kuanza Kutumika kwa Tiketi za Kielektroniki Tarehe 1 Julai, 2022
Imewekwa: 29 Jun, 2022

Tunapenda kuwajulisha Wamiliki wa Mabasi, Mawakala na Abiria kwamba kuanzia tarehe 1 Julai, 2022 tiketi zote za mabasi ya masafa marefu zitatolewa kwa njia ya kielektroniki.

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo