Imewekwa: 27 Jun, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta Mkutano wa Wadau wa kukusanya maoni kuhusu maombi ya kurejea nauli za mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa haraka (BRT) uliopangwa kufanyika tarehe 03 Julai 2024 katika Ukumbi wa mikutano wa Arnaoutouglou, Jijini Dar es Salaam.