Imewekwa: 14 Jan, 2024
LATRA inapenda kutoa Taarifa kwa Umma kwamba imeruhusu leseni na ratiba za mabasi 35 ya Kilimanjaro Truck Company Limited kuendelea kutumika kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Orodha ya mabasi hayo 35 imeambatishwa kwenye Tangazo hili.