Imewekwa: 11 May, 2023
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) inawaalika wadau wote wa usafiri ardhini kuhudhuria mikutano ya kupokea maoni kuhusu Rasimu za Kanuni Mpya za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) itakayofanyika katika kanda tano (5) kuanzia saa 3:00 asubuhi, tarehe 15 Mei, 2023 hadi 19 Mei, 2023 kama ifuatavyo: