Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Mkurugenzi Mkuu atoa Pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
Imewekwa: 27 Jul, 2022

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA CPA Habibu Suluo, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Brigedia Jenerali Marco Gaguti kufuatia vifo vya watu 12 na majeruhi 17 vilivyotokana na ajali mbaya iliyotokea leo tarehe 26 Julai, 2022 eneo lenye mteremko la Mji Mwema, kata ya Magengeni Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani humo.

Pakua taarifa kamili

 

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo