Imewekwa: 06 Apr, 2026
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kuzingatia Kifungu cha 19 cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Sura ya 413 huandaa na kufanya mapitio ya tozo mbalimbali za huduma za usafiri ardhini zinazodhibitiwa ikiwemo nauli za usafiri wa umma kwa njia ya Barabara.

