Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

LATRA Logo

Mkutano wa Wadau kutoa Maoni ya Nauli za Mabasi Yaendayo Haraka
Imewekwa: 25 May, 2022

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini imepokea maombi ya kurejea nauli za Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam kutoka kwa Wakala wa DART. Kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria Sura Na. 413, Mamlaka inapaswa kukusanya maoni ya wadau kabla ya kufikia uamuzi kuhusu viwango vya nauli vinavyopendekezwa

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo