Imewekwa: 28 Dec, 2023
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya za daladala Jijini Dar es Salaam, ili kufikisha huduma karibu na wananchi kwa mabasi yanayokidhi vigezo kama ifuatavyo;