Imewekwa: 18 Jul, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forum tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, “Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo unasumbua.” Taarifa hiyo iliomba LATRA Mkoa wa Morogoro imchunguze Afisa huyo anayetumia Madaraka vibaya na kuwatisha Madereva Bajaji.
Mamlaka imewasiliana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, ambayo, ina Hati ya Maelewano (MoU) inayoiwezesha Halmashauri hiyo Kutoa Leseni za LATRA kwa Pikipiki za Magurudumu Mawili (Bodaboda) pamoja na Pikipiki za Magurudumu Matatu (Bajaji) na kubaini kuwa;