Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Uthibitishaji wa Madereva wa Magari ya Biashara
Imewekwa: 31 May, 2022

Kwa mujibu wa Kifungu Na. 5(1)(e)  cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, 2019, Mamlaka ina jukumu la kusajili wahudumu na kuthibitisha madereva wa magari yanayotoa huduma za usafiri kibiashara.

Katika kutekeleza jukumu hilo kisheria, Mamlaka imetengeneza mfumo wa kielektroniki utakaotumika kuwatahini madereva wa magari yanayotoa huduma za usafiri kibiashara kwa lengo la kuwathibitisha

Soma zaidi

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo