Imewekwa: 02 Oct, 2023
Maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa wateja ni tukio la kimataifa ambalo linaangazia umuhimu wa huduma kwa wateja na watu wanaotoa huduma kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kwa watoa huduma na wateja