Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Kusitisha Ratiba za Mabasi 38 ya Kampuni ya New Force Yanayoanza Safari Saa 9.00 na Saa 11 Alfajiri
Imewekwa: 03 Jul, 2023

Kwa siku za karibuni tumeshuhudia ajali za mabasi ya abiria ya masafa marefu ambazo zimesababisha madhara madogo na makubwa kwa abiria. Ndani ya takribani wiki nne; kati ya tarehe 6 Juni, 2023 na 2 Julai, 2023 mabasi ya kampuni ya New Force yamehusika katika ajali tano kama ifuatavyo:

Pakua taarifa kamili

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo