Imewekwa: 30 Jun, 2026
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inapenda kuutaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri ardhini kuwa, kwa kuzingatia Kifungu cha 45 cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Sura ya 413 na kifungu cha 46 cha Sheria ya Utoaji wa Leseni za Usafirishaji Sura ya 317, Kanuni zifuatazo zimefanyiwa marekebisho:

