Imewekwa: 20 Oct, 2023
Kufuatia ujenzi wa kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka kilichopo Kivukoni, Mamlaka inawatangazia wadau wa usafirishaji kuwa, kuanzia tarehe 21 Oktoba 2023, kutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kuanzia na kuishia kwa mabasi yaliyokuwa yanaishia safari zake Kivukoni. Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo: