Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Uchukuzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini

Piga Bure : 0800110019/0800110020
LATRA Logo

Marufuku Kutumia Mfumo wa Linkee
Imewekwa: 11 May, 2022

Linkee ni mfumo usiokuwa na leseni ya kutoa huduma ya usafiri wa taxi-mtandao hapa nchini. Hivyo, Mamlaka inautaarifu umma kuacha kuutumia kwa kuwa ni kinyume na Kanuni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Magari ya Kukodi) za mwaka 2020, GN 78. Bofya hapa kupakua tangazo

Mrejesho

Mrejesho, Malalamiko au Wazo